top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 09:45:15

Antibodi na umri wa kupewa chanjo

Je, mwili wa mtu mzima unaweza kutengeneza antibodies? Kwanini tumezoea chanjo kutolewa kwa rika ambalo bado wapo katika hatua za ukuaji?

Ndio!


Mwili wa mtu mzima kama ulivyo wa mtoto mdogo unaweza kutengeneza vichocheo vya kinga (antibodi). Ndio maana chanjo hizi zinatolewa kwa watu wazima.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:28:15

Rejea za mada hii

bottom of page