top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 11:54:47
Ni kweli ARVs zinatumika kutibu ugonjwa wa COVID-19?
Hapana!
ARVs hazitumiki kutibu COVID-19. Mpaka sasa hakuna dawa wala tiba kamili ya COVID-19 ila zipo chanjo ambazo zimeonyesha matokeo chanya kwenye kuzuia madhara makubwa na vifo kwa wenye maambukizi ya COVID-19.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 13:29:04
Rejea za mada hii
bottom of page