top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 08:01:19

Bega la upande upi la kuchoma chanjo ya COVID-19

Je, kama ni begani ni bega la mkono gani?

Mara nyingi unashauriwa kuchomwa chanji katika misuli wa bega la mkono ambao hautumiki mara kwa mara, kwani wakati mwingine kuchoma chanjo husababisha maumivu madogo pamoja na uvimbe mdogo kwenye bega na kuathiri utumiaji wa mkono uliochoma chanjo. Mara nyingi, mkono huu huwa wa kushoto.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:26

Rejea za mada hii

bottom of page