top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021, 11:15:08

Chanjo kwa aliyewahi kuugua COVID-19

Je, kama mtu aliwahi kuugua COVID-19 anaweza kupatiwa chanjo?

Ndio!

Mtu alieugua COVID-19 anaweza kupatiwa chanjo ya COVID-19, lakini inashauriwa apatiwe chanjo hiyo miezi mitatu baada ya kupona COVID-19.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 15:25:33

Rejea za mada hii

bottom of page