top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 11:11:25
Je, kama mgonjwa ana Corona na amelazwa ICU anaweza kuchanjwa chanjo ya Corona?
Inashauriwa kuwa mtu anayeumwa COVID-19 asichomwe chanjo ya COVID-19 wakati anaumwa, ila asubiri mpaka baada ya miezi mitatu baada ya kupona ndipo apatiwe chanjo.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 15:15:25
Rejea za mada hii
bottom of page