top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021 09:33:11
Je chanjo ya COVID-19 husababisha homa?
Ndio, kuna uwezekano!
Kama zilivyo chanjo nyingine, chanjo dhidi ya COVID-19 pia ina maudhi madogo madogo kama vile;
Kupanda kwa joto la mwili (homa)
Uchovu
Maumivu ya kichwa
Maumivu ya tumbo
Maumivu sehemu chanjo ilipochomwa
maumivu sehemu zingine za mwili
na mengineyo
maudhi hayo huisha ndani ya siku 2-3 baada ya kupata chanjo.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 12:28:17
Rejea za mada hii
bottom of page