top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

10 Oktoba 2021 12:25:17

Chanjo ya COVID-19 ni lazima?

Chanjo ni lazima kwa makundi yaliyo hatarini kupata COVID-19 ikiwemo watumishi wa afya?

Hapana!

Chanjo inatolewa kwa hiari hata kama uko kwenye hatari hulazimishwi kuchanjwa mpaka uridhie mwenyewe.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 12:25:52

Rejea za mada hii

bottom of page