top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021 12:52:31

Chanjo za coron zitatosha kwa dunia nzima?

Je, chanjo ya Corona kuna siku zitatosha kwa ajili ya jamii nzima ya dunia?

Uwezo wa Utengenezaji wa chanjo unaendelea kuboreka na makundi mengi zaidi yanaendelea kufikiwa na chanjo hizi. Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo zinakusudia kuanza kutengeneza chanjo kwa ajili ya wananchi wake hapa hapa nchini.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 12:52:31

Rejea za mada hii

bottom of page