top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
Dkt. Sospeter B, MD
9 Oktoba 2021 12:39:22
Je, chanjo zipi za COVID-19 zinatumika Tanzania?
Nchini Tanzania, kuna aina 5 ya chanjo zilizoorodheshwa na Shirika la Afya Duniani na kuhakikiwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) zinaweza kutumika, ambazo ni;
Pfizer
Moderna
Janssen
Sinovac
Sinopharm
Orodha hii ya chanjo zilizopendekezwa inaweza kubadilika muda wowote ule kulingana na ushahidi wa kisayansi kadri unavyopitiwa na Kamati ya Kitaalamu ya Ushauri wa Chanjo nchini.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 15:05:47
Rejea za mada hii
bottom of page