top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
10 Oktoba 2021, 12:50:40
Chanjo zitatolewa bure mpaka lini isije ikawa kama ya Hepatitis?
Chanjo za COVID-19 zitatolewa bure kwa kuanzia na chanjo zinazopatikana kupitia mpango wa COVAX ambao itaipatia Tanzania chanjo kiasi cha kutosha watu milioni 12 sawa na asilimia 20 ya watu wake. Baada ya hapo, kama kutakuwa na uhitaji, Serikali itanunua chanjo kwa ajili ya wananchi wake.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021, 12:50:40
Rejea za mada hii
bottom of page