top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021 11:52:20
Je COVID-19 inaenezwa kwa kufanya mapenzi? Au wakati wa kufanya mapenzi?
COVID-19 haienezwi kwa kufanya ngono, hata hivyo kusogeleana kwa milango ya hewa na midomo wakati wa gono huongeza hatari ya kupata maambukizi kama mmojawapo ana COVID-19.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 12:27:52
Rejea za mada hii
bottom of page