top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 11:45:44
Je, kuna dalili inatofautisha ugonjwa wa COVID-19 na Magonjwa mengine yanayo enezwa kwa njia ya hewa?
Dalili nyingi za COVID-19 na maambukizi ya virusi wengine pia hufanana na magonjwa mengine ya njia ya hewa hivyo unahitajika kufanya uchunguzi kama utapata dalili zifuatazo;
Homa
Kikohozi kikavu
Mafua
Uchovu wa mwili
Maumivu ya mwili
Kukosa hamu ya kula
Kutohisi harufu
Kutohisi ladha ya chakula
Maumivu ya kichwa
Koo kukereketa
Kupumua kwa shida
Maumivu ya kifua
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:27:52
Rejea za mada hii
bottom of page