top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 12:13:13

Damu, majimaji ya mwili na COVID-19

Je damu na majimaji ya mwili kama jasho, kinyesi na mkojo hazisababishi maambukizi ya COVID-19

Hapana!

Mpaka sasa hakuna tafiti zinazoonyesha kuwa COVID-19 inaenea kwa njia ya majimaji ya mwili. Japo ni vyema kuendelea kuchukua tahadhari kwani majimaji ya mwili huweza kueneza magonjwa mengi.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:28:40

Rejea za mada hii

bottom of page