top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021, 11:13:26

Dawa za mitishamba zimethibitishwa na WHO?

Je, kuna dawa ya mitishamba ambayo imethibitishwa na WHO kutibu COVID-19?

Mpaka sasa hivi hakuna dawa (iwe ya asili au kisasa) iliyothibitishwa au kupitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa inatibu COVID-19. Hata hivyo, nchi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tanzania imekuwa ikihamasisha matumizi ya dawa zetu za asili ambazo zimekuwa zikitumika toka enzi na enzi katika kusaidia kutoa ahueni kwenye magonjwa ya mfumo wa hewa, na dawa hizi zimekuwa zikiripotiwa na wananchi kuwa zimekuwa zikiwasaidia.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 12:27:58

Rejea za mada hii

bottom of page