top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 06:11:48

Dozi za chanjo ya COVID-19

Mtu anatakiwa apate dozi ngapi za chanjo ya COVID-19?

Inategemea na matokeo ya utafiti wa kisayansi. Tafiti zimeonyesha kuwa mtumiaji wa chanjo aina ya Pfizer, Moderna, AstraZeneca, Novavax, Sinovac au Sputnik V atahitaji dozi mbili ili aweze kutengeneza kinga ya kutosha kumlinda dhidi ya kirusi kinachosababisha ugonjwa wa UVIKO-19, wakati mtumiaji wa chanjo ya Johnson and Johnson (Janssen) au Sputnik Light atahitaji dozi moja tu.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:39

Rejea za mada hii

bottom of page