Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
ULY CLINIC
Imeboreshwa:
7 Februari 2026, 07:39:01

Idadi ya kwenda haja ndogo kwa siku: Kikokotoo
Jinsi ya Kutumia Kikokotoo
Chagua umri, jinsia, kiasi cha maji unachokunywa kwa siku, na kama una hali yoyote ya kiafya inayoathiri mfumo wa mkojo. Ikiwa una zaidi ya hali moja, weka alama kwenye kila moja unayohusishwa nayo. Kisha bofya Kokotoa ili kupata makadirio ya idadi ya kawaida ya kwenda haja ndogo kwa siku pamoja na maelezo ya kitabibu yanayofaa.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeandikwa,
7 Februari 2026, 07:19:03
Rejea za mada hii
Guyton AC, Hall JE. Textbook of Medical Physiology. 14th ed. Philadelphia: Elsevier; 2021.
National Kidney Foundation. Urine frequency and kidney health. NKF Clinical Guidelines; 2020.
Hooton TM. Urinary tract infections and asymptomatic bacteriuria in adults. N Engl J Med. 2012;366(11):1028–37.
Chewcharat A, Curhan GC. Fluid intake and kidney physiology. Clin J Am Soc Nephrol. 2021;16(2):205–12.
American Diabetes Association. Diabetes-related polyuria mechanisms. Diabetes Care. 2020;43(Suppl 1):S66–S76.
Gormley EA. Normal lower urinary tract function and female urinary physiology. Urol Clin North Am. 2022;49(1):1–12.
Cleveland Clinic. Frequent urination: causes and evaluation. Clinical patient guidance; 2021.
