top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021 13:45:53

Je, chanjo ya Korona imefanyiwa utafiti hapa Tanzania?

Je, chanjo ya Korona imefanyiwa utafiti hapa Tanzania?

Hapana!

Chanjo haijafanyiwa utafiti nchini Tanzania lakini tafiti zilizofanywa nje ya nchi zimepitiwa na wataalamu wa Tanzania na wamejiridhisha kuwa ni salama kwa matumizi ya Watanzania. Hata hivyo, wanaochanjwa wote wanafuatiliwa na watoa huduma za afya ili kuangalia kama kuna madhara ya yatakayojitokeza.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 13:45:53

Rejea za mada hii

bottom of page