top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 12:11:43

Je, Corona inaenea kwa njia ya hewa?

Je, Corona inaenea kwa njia ya hewa?

Kuna majibu mawili


Hapana!

Kwa kuwa mpaka sasa hakuna tafiti zinazoonyesha kuwa COVID-19 inaenea kwa njia ya hewa.Ndio

Kwa sababu virusi vya COVID-19 vinabebwa katika hewa kupitia mate, majimaji ya puani na chafya.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:27:45

Rejea za mada hii

bottom of page