top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021 13:32:23

Je, kama kirusi hubadirika kuna uhakika gani kuwa chanjo inafanya kazi?

Je, kama kirusi hubadirika kuna uhakika gani kuwa chanjo inafanya kazi?

Hakuna chanjo inayowalinda watu wote kwa asilimia 100. Chanjo ya COVID-19 inasaidia kupunguza makali ya COVID-19 iwapo mtu aliechanjwa atapata virusi hivyo. Hii itapunguza uwezekano wa kupata ugonjwa mkali, kulazwa hospitali, kuwekewa oksigeni na kifo.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 13:32:23

Rejea za mada hii

bottom of page