top of page

Mwandishi:

Mhariri:

10 Oktoba 2021 13:40:56

Je, kuna tafiti za Watoto Watoto kupatiwa chanjo?

Je, kuna tafiti za Watoto Watoto kupatiwa chanjo?

Katika hali ya kawaida Watoto hawatumiki katika utafiti kwa dawa au chanjo mpya. Hata hivyo, taarifa zinaonesha kwamba Watoto hawaathiriki sana na ugonjwa huu ndio maana hawapewi kipaumbele cha kuchanjwa.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 13:40:56

Rejea za mada hii

bottom of page