top of page

Mwandishi:

Dkt. Benjamin L, MD

Mhariri:

10 Oktoba 2021 16:04:16

Je, kuna uhusiano gani katia ya pombe na chanjo ya Corona?

Je, kuna uhusiano gani katia ya pombe na chanjo ya Corona?

Kwa sasa hakuna maelezo kutoka kwa wanasayansi kuhusu uhusiano kati ya pombe na chanjo za COVID-19. Inashauriwa kutotumia pombe walau saa 24 kabla ya kuchanja na siku 3 hadi 7 baada ya kuchanja.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 16:04:16

Rejea za mada hii

bottom of page