top of page

Mwandishi:

Mhariri:

10 Oktoba 2021 14:16:49

Je, magonjwa gani ya kudumu ambao wanapewa kiaumbele cha kupatiwa chanjo?

Je, magonjwa gani ya kudumu ambao wanapewa kiaumbele cha kupatiwa chanjo?

Watu wenye magonjwa ya moyo, kisukari, mfumo wa hewa (mapafu) na magonjwa yanayopunguza kinga kama VVU.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 14:16:49

Rejea za mada hii

bottom of page