top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

10 Oktoba 2021 16:00:32

Je, mtu akinywa pombe anatakiwa akae muda gani kabla ya kuchanjwa?

Je, mtu akinywa pombe anatakiwa akae muda gani kabla ya kuchanjwa?

Kutumia vinywaji vyenye kilevi vinasababisha kupungua kwa ufanisi wa utengenezaji wa kinga katika mwili, hivyo inashauriwa kutokunywa vilevi saa 24 au zaidi kabla ya kuchanja na siku 3 hadi 7 baada ya kuchanja.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 16:05:15

Rejea za mada hii

bottom of page