Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dr. Benjamin L, MD
20 Oktoba 2021, 18:29:19
Je, mwanaume ana G spoti?
Ndio!
G spoti ni eneo linalokaliwa na tezi dume kwa mwanaume na tezi jike kwa mwanamke. Kusisimuliwa kwa tezi hizi hufanya mwanaume au mwanamke kupata raha kali na kufika kileleni kirahisi.
Utofauti wa Gspoti ya mwanaume na mwanamke ni ukubwa tu lakini hufanya kazi moja ya kuzalisha majimaji wakati wa kujamiana.
Kazi za kuu ya awali ya G spoti kwa mwanaume ni kuzalisha majimaji yanayolainisha manii wakati wa kujamianaa. Soma zaidi kuhusu tezi dume kwenye makala zingine za ULY CLINIC.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
20 Oktoba 2021, 18:29:19
Rejea za mada hii
Gary Schubach, EdD, ACS. The G-spot is the female prostatehttps://www.ajog.org/article/S0002-9378(02)70196-8/fulltext#relatedArticles. Imechukuliwa 20.10.2021
R. J. Levin, et al. Prostate-induced orgasms: A concise review illustrated with a highly relevant case study. https://onlinelibrary.wiley.com/doi/full/10.1002/ca.23006. Imechukuliwa 20.10.2021