top of page

Mwandishi:

Dkt. Mangwella S, MD

Mhariri:

19 Oktoba 2021 16:21:05

Je, ni vyakula gani au vinywaji havipaswi kutumika na dawa za VVU?

Je, ni vyakula gani au vinywaji havipaswi kutumika na dawa za VVU?

Dawa nyingi za VVU hazina mwingiliano na chakula au vinywaji isipokuwa pombe, baadhi ya dawa zinapaswa kutumika pamoja na chakula zingine hazipaswi zinashauriwa kutumika tumbo likiwa halina kitu ili kuongeza ufyonzwaji wa dawa.


Soma maelezo zaidi kweney linki inayofuata.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

19 Oktoba 2021 16:21:05

Rejea za mada hii

  1. Aidsmap. Food requirements for anti-HIV medications. https://www.aidsmap.com/about-hiv/food-requirements-anti-hiv-medications. Imechukuliwa 19/10/2021.

  2. Ogedengbe OO, et al. Antiretroviral Therapy and Alcohol Interactions: X-raying Testicular and Seminal Parameters Under the HAART Era. Eur J Drug Metab Pharmacokinet. 2018 Apr;43(2):121-135. doi: 10.1007/s13318-017-0438-6. PMID: 28956285.

bottom of page