top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021, 12:56:41

Je, Tanzania itaendelea kupokea chanjo kutoka J&J tu?

Je, Tanzania itaendelea kupokea chanjo kutoka J&J tu?

Nchini Tanzania, chanjo aina 5 ya chanjo zilizoorodheshwa na Shirika la Afya Duniani na kuhakikiwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) zinaweza kutumika, ambazo ni Pfizer, Moderna, Janssen, Sinovac na Sinopharm. Orodha hii ya chanjo zilizopendekezwa inaweza kubadilika muda wowote ule kulingana na ushahidi wa kisayansi kadri unavyopitiwa na Kamati ya Kitaalamu ya Ushauri wa Chanjo nchini. Chanjo yoyote kati ya hizi zitaendelea kuletwa kulingana na upatikanaji wake

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 12:56:41

Rejea za mada hii

bottom of page