top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021 13:14:11

Je, ugonjwa wa Corona unaenea kwa njia ya hewa?

Je, ugonjwa wa Corona unaenea kwa njia ya hewa?

Ndio, virusi vya COVID-19 vinabebwa katika hewa kupitia mate, majimaji ya puani na chafya.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 13:14:11

Rejea za mada hii

bottom of page