top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

7 Novemba 2021, 08:40:31

Je, unapaswa kutumia dozi ngapi za P2 kuzuia mimba?

Je, unapaswa kutumia dozi ngapi za P2 kuzuia mimba?

Mara nyingi hutakiwi kutumia postinor zaidi ya dozi moja ndani ya mzunguko mmoja wa hedhi. Kutumia zaidi ya dozi moja hupelekea kuharibika kwa period yako.


Postinor haifanyi kazi kama dawa za uzazi wa mpago hivyo kama unataka dawa endelevu za uzazi wa mpango, ongea na daktari au nesi wa uzazi wa mpango kwa ushauri wa njia zingine za uzazi wa mpango.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

7 Novemba 2021, 08:40:31

Rejea za mada hii

bottom of page