top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

10 Oktoba 2021 13:11:32

Je, unaweza kuchoma chanjo ya AstraZeneca dozi ya kwanza alafu dozi ya pili ukachoma  kati ya Pfizer, Modena au J&J?

Je, unaweza kuchoma chanjo ya AstraZeneca dozi ya kwanza alafu dozi ya pili ukachoma kati ya Pfizer, Modena au J&J?

Inashauriwa mtu achome chanjo ya aina hiyo hiyo na juhudi zinafanyika ikiwemo Pamoja na kutoa kadi za chanjo ili kuhakikisha mtu anapewa aina moja tu ya chanjo. Utafiti nchini Uingereza (Com- CoV Study) umeonyesha ufanisi mtu akipokea chanjo ya kwanza ya AstraZeneca ikifuatiwa na chanjo ya pili ya Pfizer. Tafiti bado zinaendelea ili kubaini ufanisi na madhara ya uchanganyaji wa aina tofauti za chanjo. Kwa ushahidi uliopo hadi sasa, inashauriwa kutumia aina ile ile ya chanjo.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 13:11:32

Rejea za mada hii

bottom of page