top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
10 Oktoba 2021, 14:08:59

Je, unywaji wa pombe unaruhusiwa baada ya chanjo ya Corona?
Unashauriwa kuacha pombe kwa masaa 24 – 72 baada ya kuchanjwa kwa sababu unywaji wa pombe unaweza kuongeza maudhi yanayotokana na dawa.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021, 14:08:59
Rejea za mada hii
bottom of page