top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 12:15:46

Je, virusi vya COVID-19 vinapenya kwenye Ngozi?
Hapana!
COVID-19 huenea pale majimaji kutoka kwenye mdomoni au njia ya hewa ya mtu mwenye maambukizi yanapoingia kwenye mwili wa asiye na maambukizi kupitia pua, mdom au macho.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:27:42
Rejea za mada hii
bottom of page