top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
10 Oktoba 2021 13:36:25
Je, wamama wajawazito wanatakiwa kupata chanjo ya Korona?
Ndiyo, mama mjamzito anaruhusiwa kupata chanjo.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021 13:36:25
Rejea za mada hii
bottom of page