top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 09:20:57

Je, watu wa vijijini watapataje chanjo?

Je, watu wa vijijini watapataje chanjo?

Wizara ya Afya ya Tanzania imezisambaza chanjo hizi kwenye kila Mkoa, Wilaya, Kata na Kijiji. Tembelea kituo cha Afya kilicho karibu na wewe, na utapewa maelekezo ya jinsi ya kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:28:21

Rejea za mada hii

bottom of page