top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
10 Oktoba 2021 13:30:55
Je, watumiaji wa madawa ya Kulevya, methadone, ARVs hawathuriki kwa chanjo ya Korona
Hapana!
Chanjo za COVID-19 zimethibitishwa kuwa salama kwa watu mbalimbali ikiwemo wanaotumia dawa za kufubaza makali ya UKIMWI (ARVs) na watumia madawa ya kulevya na methadone. Aidha watumiaji wa madawa ya kulevya wapo katika hatari ya kupata COVID-19 hivyo ni vyema wakapata chanjo
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021 13:30:55
Rejea za mada hii
bottom of page