top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

10 Oktoba 2021, 16:23:23

Je chanjo ya COVID 19 inaingilia vinasaba vya mtu aliye chanjwa DNA?

Je chanjo ya COVID 19 inaingilia vinasaba vya mtu aliye chanjwa DNA?

Hapana!

Licha ya chanjo jamii ya mRNA kuingia ndani ya chembe hai, huwa haiingii ndani ya Nuklia ambapo hukaa DNA na hivyo kukosa uwezo wa kuingilia uasili wa mtu. Mara baada ya chanjo kutoa maagizo ya utengenezaji wa kinga, mRNA humeng'enywa na chembe hai.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 16:23:23

Rejea za mada hii

bottom of page