top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

10 Oktoba 2021 12:38:57

Je kuna dalili mpya za Corona

Je kuna dalili mpya za Corona

Dalili za COVID-19 hazaijabadilika japo zinaweza kuwa tofauti tofauti kulingana na mtu.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 12:38:57

Rejea za mada hii

bottom of page