top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
10 Oktoba 2021 12:41:35
Je kwanini wanaochanjwa COVID-19 wana jaza fomu?
Ni taratibu za kawaida za matibabu, kabla ya mgonjwa kuhudumiwa inatakiwa kupata ridhaa hata kama sio ya maandishi.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021 12:41:35
Rejea za mada hii
bottom of page