top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021, 11:24:36

Je lazima mtu mwenye COVID-19 ajitenge?

Je lazima mtu mwenye COVID-19 ajitenge?

Ndio!


Unashauriwa unapokuwa na maambukizi ya COVID-19 uhakikishe unajitenga na kukaa angalau umbali wa mita moja wakati huo ukizingatia njia nyingine za kujikinga kama vile kuvaa barakoa na kutakasa mikono kwa maji tiririka na sabuni au kutumia vitakasa mikono. Hii itasaidia kuikinga jamii inayokuzunguka.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 12:27:55

Rejea za mada hii

bottom of page