top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

10 Oktoba 2021 15:27:49

Je wazee wakipewa chanjo inafanyaje kazi?

Je wazee wakipewa chanjo inafanyaje kazi?

Chanjo inasaidia kuuwezesha mwili kutengeneza kinga dhini ya vimelea vilivyotumika kutengeneza hiyo chanjo ili kumkinga mtu aliyechanjwa dhidi ya maambukizi. Wazee na watu wengine wanapopewa chanjo miili yao hutengeneza kinga kwa utaratibu unaofanana.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 15:27:49

Rejea za mada hii

bottom of page