top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 09:35:01
Je, kasi ya kuenea kwa ugonjwa wa Corona nchini ikoje?
Kwa sasa Tanzania imeweza kudhibiti kwa kiasi kikubwa kuenea kwa maambukizi ya COVID-19 kwa kuhamasisha jamii kujikinga na magonjwa yote kwa ujumla. Pia elimu imeendelea kutolewa na kuishirikisha jamii katika kuchukua hatua madhubuti za kujikinga na hivyo jamii imehamasika.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:28:17
Rejea za mada hii
bottom of page