Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
ULY CLINIC
Imeboreshwa:
7 Februari 2026, 07:38:05

Kiasi cha maji ya kunywa kwa Siku: Kikokotoo
Jinsi ya Kutumia Kikokotoo
Kikokotoo hiki kinakusaidia kukadiria kiasi cha maji unachohitaji kunywa kwa siku kulingana na uzito, jinsia, kiwango cha shughuli za mwili, hali ya hewa na hali yako ya kiafya. Jaza taarifa zako kwenye visanduku vinavyoonekana, kisha bonyeza “Kokotoa” kupata matokeo yako.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeandikwa,
7 Februari 2026, 07:38:05
Rejea za mada hii
Institute of Medicine. Dietary Reference Intakes for Water, Potassium, Sodium, Chloride, and Sulfate. Washington (DC): National Academies Press; 2005.
Popkin BM, D’Anci KE, Rosenberg IH. Water, hydration, and health. Nutr Rev. 2010;68(8):439-58.
European Food Safety Authority. Scientific opinion on dietary reference values for water. EFSA Journal. 2010;8(3):1459.
Sawka MN, Cheuvront SN, Carter R. Human water needs. Nutr Rev. 2005;63(6 Pt 2):S30-9.
World Health Organization. Guidelines for drinking-water quality. 4th ed. Geneva: WHO; 2017.
