Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
ULY CLINIC
Imeboreshwa:
6 Februari 2026, 00:48:58

Kikokotoo cha Siku Salama na Hatari kwa Ujauzito
Jinsi ya Kutumia Kikokotoo cha Siku Salama na Hatari
Chagua Tarehe ya Kwanza ya Hedhi Yako
Ingiza tarehe halisi ya siku ya kwanza ya kuanza hedhi yako kwenye kikokotoo.
Hii ni muhimu kwani kikokotoo kinatumia tarehe hii kuhesabu kila siku ya mzunguko wako na kuonyesha uwezekano wa mimba.
Ingiza Urefu wa Mzunguko Wako
Weka idadi ya siku za mzunguko wako wa kawaida (kati ya siku 21 hadi 45).
Kikokotoo kitahesabu siku ya uovuleshaji na dirisha la rutuba kulingana na urefu uliyoingiza.
Bonyeza Kitufe cha "Hesabu Siku Salama na Hatari"
Kikokotoo kitachakata siku zote za mzunguko wako na kuonyesha:
Mkubwa (Nyekundu) – Siku za uwezekano mkubwa wa mimba (Dirisha la rubuta)
Wa Kati (Njano) – Siku zinazokaribia dirisha la rutuba
Mdogo (Blu) – Siku zenye uwezekano mdogo wa mimba
Angalia Matokeo kwa Tarehe Halisi
Matokeo yanaonyesha tarehe zote za mzunguko pamoja na uwezekano wake, kwa urahisi kuona siku ambazo ni hatari au salama.
Ushauri wa Ziada
Siku za “MKubwa” zinafaa kwa wale wanaotaka kupata mimba.
Siku za “Mdogo” ni zile ambapo uwezekano wa mimba ni chini, zinazofaa kwa wale wanaotaka kuepuka ujauzito bila kutumia dawa.
Kumbuka: Hii ni mwongozo wa kimsingi, si mbadala wa ushauri wa daktari.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeandikwa,
5 Februari 2026, 23:31:17
Rejea za mada hii
American College of Obstetricians and Gynecologists. Practice Bulletin No. 201: Ovulation Induction. Obstet Gynecol. 2019;133(6):e422–e436.
Fritz MA, Speroff L. Clinical Gynecologic Endocrinology and Infertility. 9th ed. Philadelphia: Lippincott Williams & Wilkins; 2011.
Gnoth C, et al. Definition and determination of the fertile window. Hum Reprod. 2005;20(4): 1008–1011.
Wilcox AJ, Weinberg CR, Baird DD. Timing of sexual intercourse in relation to ovulation. N Engl J Med. 1995;333:1517–1521.
Ecochard R, et al. Characterization of the luteinizing hormone surge in women. Fertil Steril. 2001;76(3): 555–562.
Centers for Disease Control and Prevention (CDC). Fertility Awareness-Based Methods. Atlanta, GA: CDC; 2021.
American Pregnancy Association. Ovulation and Fertility Window. 2022. Available from: https://americanpregnancy.org
