top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

Imeboreshwa:

11 Septemba 2025, 22:48:19

Kikokotoo cha Umri wa Ujauzito: Wiki, Uzito wa Mtoto na Ushauri wa Lishe

Kikokotoo cha Umri wa Ujauzito: Wiki, Uzito wa Mtoto na Ushauri wa Lishe

Chini ya maelezo haya kuna kikokotoo cha Ujauzito ambacho ni programu ya inayosaidia mjamzito au mtoa huduma ya afya kukokotoa umri wa ujauzito  kwa kuzingatia tarehe ya kwanza ya kuanza kuona hedhi ya mwisho. Pia hutoa:

  • Makadirio ya tarehe ya kujifungua (EDD) kulingana na kanuni ya Naegele.

  • Makadirio ya uzito wa mtoto tumboni kulingana na wiki za ujauzito.

  • Ushauri wa lishe bora kwa mama mjamzito kulingana na hatua ya ujauzito.

  • Vitu vya kuepuka wakati wa ujauzito (pombe, sigara, dawa zisizo na ushauri wa daktari).

  • Dalili za hatari ambazo zinahitaji uangalizi wa haraka wa daktari.

  • Mchoro wa ukuaji wa mtoto kuonyesha mabadiliko ya uzito wa mtoto kwa wiki.

  • Onyo la dharura likitokea ishara zinazoweza kuhatarisha maisha ya mama au mtoto.


Jinsi kinavyofanya kazi

  1. Mjamzito anaingiza tarehe ya kuanza hedhi mwisho ya hedhi (Tarehe ambapo alianza kuingia hedhi ya mwisho)

  2. Kikokotoo hukokotoa:

    • Umri wa ujauzito (katika wiki na siku)

    • Makadirio ya tarehe ya kujifungua (EDD)

    • Makadirio ya uzito wa mtoto

  3. Kinaonyesha ushauri wa lishe, vitu vya kuepuka, na dalili za hatari.

  4. Kinaonyesha mchoro wa ukuaji wa mtoto kutoka wiki 12 hadi 40.

  5. Ikiwa mama yupo kwenye miezi mitatu ya mwisho(kipindi cha tatu cha ujauzito), mfumo hutoa Ujumbe wa ishara kukumbusha kufuatilia harakati za mtoto na kwenda hospitali haraka endapo kuna ishara za hatari.



ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeandikwa,

19 Julai 2025, 17:29:18

Rejea za mada hii

  1. American College of Obstetricians and Gynecologists. Methods for estimating the due date. Committee Opinion No. 700. Obstet Gynecol. 2017;129(5):e150-e154.

  2. World Health Organization. WHO recommendations on antenatal care for a positive pregnancy experience. Geneva: WHO; 2016.

  3. Cunningham FG, Leveno KJ, Bloom SL, Dashe JS, Hoffman BL, Casey BM, et al. Williams Obstetrics. 26th ed. New York: McGraw-Hill Education; 2022.

  4. Hadlock FP, Harrist RB, Sharman RS, Deter RL, Park SK. Estimation of fetal weight with the use of head, body, and femur measurements—a prospective study. Am J Obstet Gynecol. 1985;151(3):333-7.

  5. Institute of Medicine (US) and National Research Council (US) Committee to Reexamine IOM Pregnancy Weight Guidelines. Weight Gain During Pregnancy: Reexamining the Guidelines. Washington (DC): National Academies Press; 2009.

  6. World Health Organization. Nutrition during pregnancy and lactation: a practical guide. Geneva: WHO; 2020.

  7. Royal College of Obstetricians and Gynaecologists. Reducing the risk of venous thromboembolism during pregnancy and the puerperium. Green-top Guideline No. 37a; 2015.

bottom of page