top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Salome A, MD

Imeboreshwa:

12 Agosti 2025, 06:33:16

Kikokotoo cha uwezekano wa kushika Mimba

Nawezaje kufahamu uwezekano wa kushika mimba baada ya tendo?

Swali la msingi

Nimejamiana na mwanamke wangu kwenye siku za hatari na siku akiwa kwenye hedhi, je uwezekano wa kushika mimba ni asilimia ngapi?


Majibu

Kikokotoo hiki husaidia mwanamke kujua makadirio ya asilimia ya uwezekano wa kushika mimba kulingana na tarehe ya kuanza hedhi ya mwisho, tarehe aliyoshiriki ngono, na urefu wa mzunguko wa hedhi.


Jinsi ya kutumia

  1. Weka Tarehe ya Mwisho ya Kuona Hedhi: Hii ni siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho.

  2. Weka Tarehe ya Kushiriki Ngono: Hii ni siku ulioshiriki ngono bila kinga.

  3. Weka Urefu wa Mzunguko wa Hedhi: Ikiwa hukumbuki, unaweza kuingiza angalau tarehe tatu za kuanza hedhi zilizopita ili kikokotoo kihesabu wastani.

  4. Kisha Bonyeza Hesabu Uwezekano ili kupata matokeo.



ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeandikwa,

12 Agosti 2025, 06:25:12

Rejea za mada hii

  1. World Health Organization. Family planning: A global handbook for providers. 3rd ed. Geneva: WHO; 2022.

  2. American College of Obstetricians and Gynecologists. Fertility awareness-based methods of family planning. Committee Opinion No. 831. Obstet Gynecol. 2021;138(4):e252–e258.

  3. Wilcox AJ, Weinberg CR, Baird DD. Timing of sexual intercourse in relation to ovulation: Effects on the probability of conception, survival of the pregnancy, and sex of the baby. N Engl J Med. 1995;333(23):1517–1521.

  4. Stanford JB, White GL, Hatasaka H. Timing intercourse to achieve pregnancy: Current evidence. Obstet Gynecol. 2002;100(6):1333–1341.

  5. Ecochard R, Boehringer H, Rabilloud M, Marret H. Chronological aspects of ultrasonic, hormonal, and other indirect indices of ovulation. BJOG. 2001;108(8):822–829.

bottom of page