Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Sospeter M, MD
21 Novemba 2021, 20:01:45
Je, kitanzi huongeza hatari ya mimba kutungwa nje ya kizazi?
NDIO!
Tafiti zinaonyesha kuwa matumizi ya kitanzi kama njia ya uzazi wa mpango huongeza hatari ya mimba kutungwa nje ya kizazi. Hatari huwa asilimia 2 yaani kati ya wanawake 100 wanawake 2 mimba zao zitatunga nnje ya kizazi. (Matthew R. Neth, et al)
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
28 Novemba 2021, 13:22:59
Rejea za mada hii
Neth, et al. “Ruptured Ectopic Pregnancy in the Presence of an Intrauterine Device.” Clinical practice and cases in emergency medicine vol. 3,1 51-54. 22 Jan. 2019, doi:10.5811/cpcem.2019.1.41345. Imechukuliwa 21.11.2021
United Nations, Department of Economic and Social Affairs, Population Division. Trends in Contraceptive Use Worldwide 2015 (ST/ESA/SER.A/349) 2015. http://www.un.org/en/development/desa/population/publications/pdf/family/trendsContraceptiveUse2015Report.pdf. Imechukuliwa 21.11.2021
Centers for Disease Control and Prevention. National Survey of Family Growth: Current use of contraceptive methods. 2018. [Accessed on December 5, 2018]. wwwcdcgov/nchs/nsfg/key_statistics/c.htm#currentuse. Imechukuliwa 21.11.2021
Li C, et al. Risk factors for ectopic pregnancy: a multi-center case-control study. BMC Pregnancy Childbirth. 2015;15:187. [PMC free article] [PubMed] [Google Scholar]