top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021 07:20:23

Kuendelea kwa mikusanyiko wakati wa janga

Kwanini mikusanyiko inaendelea kuwepo ingali serikali imeshatoa mwongozo wa katazo la mikusanyiko?

Elimu inazidi kutolewa kwa jamii kuhusu kuzingatia njia za kujikinga na UVIKO-19 na pale inapotokea kukawa na ulazima wa kukutana wananchi wanashauliwa kuchukua tahadhari zote za kujikinga na maambukizi ikiwemo kuvaa barakoa, kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni au kutumia vipukusi.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 09:16:38

Rejea za mada hii

bottom of page