top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
10 Oktoba 2021, 15:38:57
Je, kama mchanjwaji ana VVU na mchomaji hajavaa gloves anapogusa damu hawezi kupata VVU?
Mchanjaji asipovaa gloves anaweza kupata VVU kama atakuwa na vidonda kwenye mikono yake. Hata hivyo kwa tahadhari, mtaalamu wa afya anapaswa kuvaa gloves.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
10 Oktoba 2021, 15:38:57
Rejea za mada hii
bottom of page