top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021, 07:38:01

Kuna masharti kabla ya chanjo ya COVID-19?

Je, kuna masharti ya kufuata kabla ya kuchomwa chanjo ya COVID-19?

Hakuna masharti yanayotakiwa kufuata kabla ya kuchomwa chanjo ya COVID-19. Hata hivyo, mtu anatakiwa kutokuwa na homa au dalili za COVID-19 kabla ya kuchomwa chanjo ya COVID-19.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 09:16:33

Rejea za mada hii

bottom of page