top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021, 13:01:20

Kuna PEP ya corona?

Je, kuna PeP ya Corona imeshahakikiwa na TMDA na itaingizwa lini nchi na je itatolewa bure? Kundi gani watapewa kipaumbele?

Hadi sasa hakuna PEP ya kujikinga dhidi ya COVID-19. Ili kuhakikisha ya kuwa watumishi wa afya wanalindwa dhidi ya maambukizi yasiyokusudiwa wawapo kazini, kundi hili limepewa kipaumbele cha kupewa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. PeP hutumika mara nyingi kwa magonjwa ambayo chanjo zake hazijapatikana bado ili hali kuna dawa dhidi ya ugonjwa huo.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 13:01:20

Rejea za mada hii

bottom of page