top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

ULY CLINIC

8 Agosti 2023 06:22:54

Kunguni husababisha madhara gani mwilini?

Madhara ya kunguni mwili ni yapi?

Kunguni ni wadudu wadogo wasio na mabawa, huwa na rangi nyekundu inayoelekea kahawia. Hupatikana kwa wingi maeneo yenye joto. Wadudu hawa hujipatia chakula kwa kufyonza damu ya binadamu.


Hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa kunguni wanaweza kuambukiza au kueneza ugonjwa flani. Japo huweza kuamsha mzio katika ngozi.


Dalili za mzio wa kunguni

Dalili za mzio huo huwa;

  1. Vipele kwenye ngozi

  2. Kujikuna

 

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Agosti 2023 20:47:02

Rejea za mada hii

  1. Bedbug Bites - StatPearls - NCBI Bookshelf. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK538128/. Imechukuliwa 08.08.2023

  2. Bed Bugs: Clinical Relevance and Control Options - PMC – NCBI. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3255965/. Imechukuliwa 08.08.2023

bottom of page